Kutuliza mzimu wa migawanyiko napendekeza makao makuu ya CHADEMA taifa yahamishiwe Zanzibar

Kutuliza mzimu wa migawanyiko napendekeza makao makuu ya CHADEMA taifa yahamishiwe Zanzibar

Attachments

  • IMG_20240106_163212.jpg
    IMG_20240106_163212.jpg
    20.1 KB · Views: 22
chadema kwa sasa ni kikundi cha wahuni kilichopoteza mueleko. Wanachoweza kwa sasa ni kufanya harambee kwenye mikutano yao ili kupata hela ya viongozi kulewa.
 
Hii italeta utulivu na usawa ndani ya chadema na kuondoa dhana ya chuki, dhihaka na ubaguzi dhidi ya viongozi wa kutoka Zanzibar na dhana ya kuitenga Zanzibar katika masuala mbalalimbali ikiwa ni pamoja na masuala ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho.

Zaidi sana,
makao makuu ya chadema kua Zanzibar itapunguza gharama za kukodi ofisi na itasaidia viongozi wengi wa chadema Taifa bara, kujifunza faida za ustahimilivu na subra, hekima na busara kwaa kiongozi katika uongozi, lakini pia itapelekea viongozi wa chadema wajifunze athari za uropokaji katika kuongoza watu na kususia mambo ya msingi.

Si hivyo tu,
makao makuu ya chadema kuhamishiwa Zanzibar kutatanua fursa za utalii wa ndani na kutaimarisha na kudumisha muungano na kuongeza uelewa na ufahamu wa wanachadema dhidi ya manufaa ya maridhiano yenye dhamira njema na heshima ndani yake.

Una maoni gani ndugu mdau wa JF katika hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa maadui na wahujumu namba moja wa Chadema sio,ili iwe rahisi zaidi kuendeleza hujuma dhidi ya chama pendwa sio?Ama mimi naota?
 
Back
Top Bottom