Kutuma maombi Wizara ya Afya kwa waliomaliza kabla ya 2012

hassanrobert

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
25
Reaction score
3
Jamani nataka kujua kuwa unaweza kutuma maombi wizara ya afya kama unaBiology-DKwa masomo mengine C flat kwa cheti cha form4,kwa miaka ya 2012-2008 kwa maana kulikuwa hakuna izo alama za gpa na mgawanyo wa sasa wa marks kwa madaraja ya B
 
Thanx bro nilijua labda hiyo D inaniharibia sababu ya biology kuwa hairuhusu
 
Kwani mpaka upige vzur bios kaka maana mengine yako poa kama chemistry na physics "C"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…