hassanrobert
Member
- Feb 10, 2015
- 25
- 3
Jamani nataka kujua kuwa unaweza kutuma maombi wizara ya afya kama unaBiology-DKwa masomo mengine C flat kwa cheti cha form4,kwa miaka ya 2012-2008 kwa maana kulikuwa hakuna izo alama za gpa na mgawanyo wa sasa wa marks kwa madaraja ya B