Kutuma mzigo Canada

Kutuma mzigo Canada

Abdistar

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
39
Reaction score
26
Mambo vipi wadau

Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofauti na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS.
 
Mambo vipi wadau

Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofaut na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS
Sasa hii ndio njia na bei rahisi zaidi kuliko.
 
Duh ni hatari sababu kg 10 ni laki 3 na zaidi.
 
Mambo vipi wadau

Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofauti na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS.

Habari mkuu.

Ulifanikiwa kutuma? Ulitumia kampuni gani?
 
Back
Top Bottom