Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

Tatizo hata hao unaosema wawakilishi wa wananchi, siyo kweli. Hawakuchaguliwa na wananchi, waliteuliwa na marehemu. Hawa hata wadharaulike vipi, hakuna mwenye uchungu nao.

Wote ni waporaji wa demokrasia. Ni ugomvi wa waovu watupu.
 
Mkiwa mnaandika hivi muwe mnawatag, unadhani huyo Mwigulu au Rais atajuaje kama umelalamika JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…