theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Fanya hivyo ulete mrejesho hiyo ketoconazole iko burned lakni ukiipata ni the best mkuu.....thnx mkuu ngoja nijaribu coz nshatumia almost kila dizain tabs na topocals but bada ya mda inarejea tena
NiceFungus wanashambulia kwa sababu
1. Damu ina sukari
2. Immune system iko chini.
Kabla hamjafika mbali rafiki yako apime damu kwa diabetes, HIV na apine pia TB
Plz mimi si daktari.
Ahsante sana mr mdMkuu pole sana anza kutumia vidonge vya Nystatin ni dawa nzuri kwa systemic candidiasis.....
Na kwa huyo jamaa pia anaweza kuchoma sindano ya amphotericin B itamsaidia na kwa dawa ya kupaka mwambie atafute ketoconazole atakuwa sawa kabisa ila ahakikishe anapakausha huko nyuma sawa sawa na kupaka.....
Na pia azingatie usafi wa huko nyuma plus a make sure hakuna unyevu unyevu wa aina yoyote.....
Goodluck....
jaribu nystatin mkuu ni nzuri kwa candidiasis sugu mi imenisaidia sanaMimi nasumbuliwa na huo ugonjwa,yaani korodani zinawasha sana na ukizigusa unasikia maumivu makali sana hasa usiku,huwa silali mpaka kuna pambazuka,na zinakuwa kavu ngozi inatoka inaanza ngozi mpya,lakini hayo maumivu hayapoi ni muda sasa,kuna dawa ya kupaka natumia sk derm cream pia nimeandikiwa fluconazole nakunywa mara moja kwa wiki lakini sioni improvement yoyote,ila hakuna kipimo nilichofanya