Kutumia antifungal injection

Kutumia antifungal injection

ok mkuu nko najitaid xn to get easy again much apprec to yu hop more cooprt in later cases
 
Fungus wanashambulia kwa sababu
1. Damu ina sukari
2. Immune system iko chini.

Kabla hamjafika mbali rafiki yako apime damu kwa diabetes, HIV na apine pia TB
Plz mimi si daktari.
Nice
 
nami mhanga mkuu nlikuwa mfuasi wa cunnilungus so ni victim wa C.albicans systematic so ukipata soln let me know thanks in adv.
Kwahiyo umefikia wapi mkuu
 
Je anaoga kwa wakati maana kwa wakazi wengi hasa dar jasho linagandamana mpaka ukwangue na scraper,aoge vizuri kwanza then tupe mrejesho.
Hahaa,jamaa ni mtu safi sana mkuu
 
Mkuu pole sana anza kutumia vidonge vya Nystatin ni dawa nzuri kwa systemic candidiasis.....

Na kwa huyo jamaa pia anaweza kuchoma sindano ya amphotericin B itamsaidia na kwa dawa ya kupaka mwambie atafute ketoconazole atakuwa sawa kabisa ila ahakikishe anapakausha huko nyuma sawa sawa na kupaka.....

Na pia azingatie usafi wa huko nyuma plus a make sure hakuna unyevu unyevu wa aina yoyote.....

Goodluck....
Ahsante sana mr md
 
Mimi nasumbuliwa na huo ugonjwa,yaani korodani zinawasha sana na ukizigusa unasikia maumivu makali sana hasa usiku,huwa silali mpaka kuna pambazuka,na zinakuwa kavu ngozi inatoka inaanza ngozi mpya,lakini hayo maumivu hayapoi ni muda sasa,kuna dawa ya kupaka natumia sk derm cream pia nimeandikiwa fluconazole nakunywa mara moja kwa wiki lakini sioni improvement yoyote,ila hakuna kipimo nilichofanya
 
jaribu nystatin mkuu ni nzuri kwa candidiasis sugu mi imenisaidia sana
 
Back
Top Bottom