Kutumia Azam Max kwenye Android Tv

mkuu hapa tuwekane sawa kidogo, kuna kitu umechanganya kidogo, androidtv inaweza ikawa tv box pia, sema androidtv ni operating system ambayo iko certified na google special kwwnye tv, na zenyewe apps zake za playstore nying zimekua designed kutumika kwenye tv,na mara nying utakuta ni games na streaming apps kama iyo azama max,lakin TV box/ android Tv box, zenyew zina android za kawaida tu za simu,,ambazo hizi sasa google hawajazicertify kitumia kweny tv, hizi sina uzoefu nazo,ila iyo androidtv ambazo ni google certify hazisapot azam tv max, ila streaming nyingine unapata tena streaming apps zake zimeweka mtu anaangalia kwa resolution kubwa mpaka 4k kama inasapot, ila hizo tv box kwa mfano netflix zinasapot 480p, labda mwenye uzoefu na hizi tv box zinazotumia android za kawaida atuambie kama zinasapot azam tv max
 
Kama unataka kutumia kwenye tv siudis play tu kutoka kwenye simu kwenda kwenye tv au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…