nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 152
- 152
mkuu hapa tuwekane sawa kidogo, kuna kitu umechanganya kidogo, androidtv inaweza ikawa tv box pia, sema androidtv ni operating system ambayo iko certified na google special kwwnye tv, na zenyewe apps zake za playstore nying zimekua designed kutumika kwenye tv,na mara nying utakuta ni games na streaming apps kama iyo azama max,lakin TV box/ android Tv box, zenyew zina android za kawaida tu za simu,,ambazo hizi sasa google hawajazicertify kitumia kweny tv, hizi sina uzoefu nazo,ila iyo androidtv ambazo ni google certify hazisapot azam tv max, ila streaming nyingine unapata tena streaming apps zake zimeweka mtu anaangalia kwa resolution kubwa mpaka 4k kama inasapot, ila hizo tv box kwa mfano netflix zinasapot 480p, labda mwenye uzoefu na hizi tv box zinazotumia android za kawaida atuambie kama zinasapot azam tv maxWengi wanaongea humu nadhani hawana androidtv™️ bali wanna "Android TV Box" ambazo sio androidtv™️ ni Android OS ya kawaida hizi zinakubadi karibu kila apk ya simu ila haijatengenezwa maalumu kwa TV interface yake sio remote friendly, androidtv™️ browser zake hazina nguvu kwa kawaida na huwa zinashida kuplay video nyingi but anyway jaribu "TV Bro" kwenye Play store ya TV au search browser kisha jaribu kila browser.
Njia nyingine ambayo inaweza kuwa solution ya muda ni kulogin kwenye laptop/PC Chrome kisha fanya casting kutoka kwenye browser kwenda kwenye TV, mashine zote zinabidi ziwe wifi moja.
Cast from Chrome to your TV - Streaming Help
You can show a Chrome tab or your screen from your PC to your TV with your Chromecast or Google TV Streamer (4K) device. You can cast most web content. Some plugins won't work, like Silverlight, Quicsupport.google.com