Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wangetupatia tu tukanywa au kula NyamaMmmm piga hesabu vizuri,sio milioni 9 kila mtu kahesabiwa kwa 13200-13500
Swali hili linawahusu haoo waliowapa kwa ajili ya kazi ya sensa.Baada ya zoezi hizo tablets zitaenda wapi zitakuwa mali ya nani ? Au serikali watazitumia kufanyia kazi gani?
Kwanini mabilion kama haya wasiyatumie kwenye kujenga na kuweka sawa septa ya kilimo kuanzia mashamba,miundombinu ya umwagiliaji,mbolea nkWatu wamepiga.
Akili zile zile za kuazima zinamsumbua huyu mtanzania. Vile vishkwambi vilivyotumiwa na kila afisa wa sensa unajua bei zake?.
Posho wanazolipwa makarani wa sensa kwa siku unazijua ni shilingi ngapi?. Wao jumla yao unajua ni wangapi?.
Achana na hizi akili mgando za malalamiko kuanzia january mpaka desemba.