Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
hayo yote ndiyo yanaunda mfumo tata wa rushwa. Unatumia 98% ya bajeti kwa mizengwe kwa ajili ya kufanya project yenye thamani ya 2%Unahesabu karani na nyumba zenu tisa tu?
Vipi kuhusu, kuandaa dodoso, kuandaa vitabu vya kufundishia, kabrasha, kulisha na kulipia kumbi, kuwalipa wawezeshaji, ni mengi
Hapo hapo wapo waongeza 0