Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Naombeni kufahamishwa kuhusu hili nilikuwa natatizo kipindi fulani ila nikaitumia hii dawa nikapona. Sasa nataka nijue je kuna madhara kutumia mara kwa mara kama utapata magojwa tena au la?
Wataalamu msemaje kuhusu dawa hii kama kuna madhara yoyote kutumia mara kwa mara.
Wataalamu msemaje kuhusu dawa hii kama kuna madhara yoyote kutumia mara kwa mara.