Kutumia dawa ya kisunnah habat soda je ina madhara?

Kutumia dawa ya kisunnah habat soda je ina madhara?

Prescription Drugs Addiction and Pharma

The pharmaceutical industry does not create cures, they create customer$

drugs-addiction-and-pharma.jpg

''THE PERFECT DRUG,FROM THE POINT OF VIEW OF A DRUG COMPANY,IS ONE THAT DOESN'T CURE PEOPLE, BECAUSE PEOPLE NEED TO TAKE THE DRUG FOR A LONG PERIOD OF TIME IN ORDER FOR IT TO BE PROFITABLE.'
 
Habbat Sawda kuitumia kwa kila mara sio mbaya na wala haina madhara ila hiafai kwa mtu ambae hana maradhi kula dawa. Wewe tangu lini umemuona mtu mzima hana maradhi akanywa dawa ya Asprin?
Assalam alleykum,naomba kujua ni siki ipi inafaa kuchanganyia habbat soda ya unga kwa matibabu ya kinywa
 
Prescription Drugs Addiction and Pharma

The pharmaceutical industry does not create cures, they create customer$

View attachment 461990

''THE PERFECT DRUG,FROM THE POINT OF VIEW OF A DRUG COMPANY,IS ONE THAT DOESN'T CURE PEOPLE, BECAUSE PEOPLE NEED TO TAKE THE DRUG FOR A LONG PERIOD OF TIME IN ORDER FOR IT TO BE PROFITABLE.'
Naomba kujua jinsi ya kuchanganya ili nitibu magonjwa yote yanayonisumbua Dr
 
Kuna Kipindi nilianza kuitumia ila nikajiona kama nakula sumu tu... kuna Duka la Matunda kariakoo karibu na msikiti wa Idrisa Jamaa kaweka wazi na kijiko ukinunua juice ya Tende,Karoot, au Juice yake anaiita Dawa ina Vitunguu Saum,Mbengu sijui ni za Haradali Yaani ya ajabu ajabu anaisaga kwenye blender mwisho anachanganya na hiyo habart soda ukimeza ni chungu ati ni dawa inatibu maradhi mengi na

mafuta n.k n.k so watu wanajimezea tu kila siku nilianza kuitmia nikijisemea najiweka fit kama wiki mbili hivi kuna siku nikaanza hisi kama naugua nikaacha sijaijaribu tena...

Nadhani mauchafu yanajijaza tumboni.. Kama Huumwi bora kuachana nayo madawa meusi na machungu sidhani kama ni mazuri kwa afya baadae.
Habat sauda sio chungu hata kidogo hiyo haikuwa habat souda
 
Back
Top Bottom