Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Habatsoda ni dawa nzuri sana isiyokuwa na madhara, changanya na asalinaombeni kufahamishwa kuhusu hili nilikuwa natatizo kipindi fulani ila nikaitumia hii dawa nikapona sasa nataka nijue je kuna madhara kutumia mara kwa mara kama utapata magojwa tena au la? wataalamu msemaje kuhusu dawa hii kama kuna madhara yeyote kutumia mara kwa mara
niliwah kutumia kipindi flani ni nzuri kweli lakini inachosha sana, ndivyo ilivyo ama?Habatsoda ni dawa nzuri sana isiyokuwa na madhara, changanya na asali
Habbat Sawda kuitumia kwa kila mara sio mbaya na wala haina madhara ila hiafai kwa mtu ambae hana maradhi kula dawa. Wewe tangu lini umemuona mtu mzima hana maradhi akanywa dawa ya Asprin?naombeni kufahamishwa kuhusu hili nilikuwa natatizo kipindi fulani ila nikaitumia hii dawa nikapona sasa nataka nijue je kuna madhara kutumia mara kwa mara kama utapata magojwa tena au la? wataalamu msemaje kuhusu dawa hii kama kuna madhara yeyote kutumia mara kwa mara
Ni dawa ya nini hii?Habbat Sawda kuitumia kw akila amra sio mbaya na wala haina amdhara ila hiafai kwa mtu ambae hana amradhi kula dawa. wewe tangu lini umemuona mtu mzima hana maradhi akanywa dawa ya Asprin?
Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, maana wanawake wananikimbia, nikipanda jumatatu jioni nashuka jumatano MTU akiwa kisha ziraiHabatsoda ni dawa nzuri sana isiyokuwa na madhara, changanya na asali
Utakuwa unatembea na Sokwe watu wewe kwanza nilisikia unaishi misutu ya Kongo...Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, maana wanawake wananikimbia, nikipanda jumatatu jioni nashuka jumatano MTU akiwa kisha zirai
Habbat Soda aka (Black Seed) ni dawa ya kutibu kila Maradhi uanchanganya na Asali kijiko 1 an unga wa Habbat Soda kijiko 1 unakoroga na kunywa kabla ya kula kitu asubuhi mchana na usiku tiba kwa kila Maradhi .Ni dawa ya nini hii?
Dawa zetu za Mitishamba ni kiboko ya kutibu maradhi yote sugu yasiyoweza kutibiwa Ma-Hospitalini ndio maana Ma-Daktari wanatupiga vita Waganga wa kienyeji kwa sababu Dawa za hospitali hazitibu unakuw awewe ni mteja wa kila siku kununuwa hizo dawa.Hii ni zaidi ya tiba, kabla hujatumia hakikisha unatumia kwa tatizo lipi? Maana ipo mbegu, unga hata mafuta,
Inatibu maradhi yote? including nguvu za kiume? but sijajua kama nguvu za kiume ni maradhi au?Habbat Soda aka (Black Seed) ni dawa ya kutibu kila Maradhi uanchanganya na Asali kijiko 1 an unga wa Habbat Soda kijiko 1 unakoroga na kunywa kabla ya kula kitu asubuhi mchana na usiku tiba kwa kila Maradhi .
View attachment 379792
Ushuhuda #1Kuna Kipindi nilianza kuitumia ila nikajiona kama nakula sumu tu... kuna Duka la Matunda kariakoo karibu na msikiti wa Idrisa Jamaa kaweka wazi na kijiko ukinunua juice ya Tende,Karoot, au Juice yake anaiita Dawa ina Vitunguu Saum,Mengu sijui ni za Haradali Yaani ya ajabu ajabu anaisaga kwennye blender mwisho unachanganya na hiyo habart soda unameza ni chungu ati ni dawa ina tibu maradhi mengi na inaondoa mafuta n.k n.k so watu wanajimezea tu kila siku nilianza niseme najiweka fit kama wiki mbili hivi siku tofauti tofauti ila nikahisi kama naugua nikaacha sijaijaribu tena...
Nadhani mauchafu yanajijaza tumboni.. Kama Huumwi bora kuachana nayo madawa meusi na machungu sidhani kama ni mazuri kwa afya baadae.
Wewe hujaumwa utakapo umwa ndipo utaitafuta hiyo dawa nyeusi. Kwani utakapo umwa na kwenda hospitali kutibiwa kisha hujapona ndipo utakuja mwenyewe kuleta ushuhuda kuwa umepona kwa hiyo dawa chungu nyeusi.Kuna Kipindi nilianza kuitumia ila nikajiona kama nakula sumu tu... kuna Duka la Matunda kariakoo karibu na msikiti wa Idrisa Jamaa kaweka wazi na kijiko ukinunua juice ya Tende,Karoot, au Juice yake anaiita Dawa ina Vitunguu Saum,Mengu sijui ni za Haradali Yaani ya ajabu ajabu anaisaga kwennye blender mwisho unachanganya na hiyo habart soda unameza ni chungu ati ni dawa ina tibu maradhi mengi na inaondoa mafuta n.k n.k so watu wanajimezea tu kila siku nilianza niseme najiweka fit kama wiki mbili hivi siku tofauti tofauti ila nikahisi kama naugua nikaacha sijaijaribu tena...
Nadhani mauchafu yanajijaza tumboni.. Kama Huumwi bora kuachana nayo madawa meusi na machungu sidhani kama ni mazuri kwa afya baadae.
***Habbat Soda aka (Black Seed) ni dawa ya kutibu kila Maradhi uanchanganya na Asali kijiko 1 an unga wa Habbat Soda kijiko 1 unakoroga na kunywa kabla ya kula kitu asubuhi mchana na usiku tiba kwa kila Maradhi .
View attachment 379792