Naomba mnielimishe kuhusu kuomba mkopo kupitia hisa zako ambazo umenunua Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Nimekuwa nikisikia kuhusu hilo lakini sina undani wa taarifa zake.
Kwa mfano; Ni vigezo gani huwa vinatumika kupanga kiwango cha fedha ambacho unaweza kukopa katika Bank husika kupitia hisa zako? Je ni uwingi wa hisa? au inategemeana ni hisa za kampuni gani?