Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Mara nyingi tukiongelea vikwazo kwenye sekta ya ICT serikali imeonekana ni kikwazo katika mambo mengi.
Wakati nakubaliana kuna mambo serikali inatakiwa kuyaweka sawa bado kuna wataalam wengi kwa nafasi taasisi , majukumu au uwezo wa maamuzi waliyonayo wanaweza kyafanya na kuifanya ICT kuyoa mchango.
Nitatoela mfano taasisi au maaumizi mabali mabli ambayo hayahitaji gharama kubwa na yana mchango wa kuleta mabadilliko endelevu.
I Elimu
Hili Nimeliandika sana hapa. Kuna shule hazina maabara,kama maabara ziipo basi hazina vifaaa . kuna shule hazina waalimu wa sayansi . ICT ina toa fursa za kufukia mapungufu haya
Nawaombeni muwaambie waheshimiwa vijana wenzetu kina myika, zitto,january makamba, etc. Na hata kina Mbowe , Dr slaa prof lipumba mawaziri na maktibu wa jk waje wasome uzi huu kama wataona yanafaa wayafanyie kazi .. kama watataka maelezo zaidi tutawafamisha na kueleza option zilizopo kwa upana zaidi
NB.
Nitaendela kutaja opportunities za iCT zinazoweza kufanyika kwenye sekta au tasisi mbali mbali. kutatua matatizo .

How?
Ni kiasi cha wizira au Idara, NGO au Mbunge au hata shule binafsi au hata mtu binafsi anayejihusiha na elimu kutafuta mwalimu mzuri wa somo fulani na watalmu wa kurekodi video, Kurekodi video akifunidisha au akifanya practical ya somo fulani. Then kutoa kuuza copi ya DVD kwa shule na wanafunzi. Shule zitahitajika kununa TV na DVD player kwa ajili hii. Naamini shule nyingi zinavyo hivi vifaa . One time cost inafanya kazi kwa miaka kadhaa. Wanafuzi na wazazi wanatkiwa kujua video sio lazima iwe ya kanumba . Waleweshwe unaweza kutazama video ya Laws of motion of balancing chemical equation.
Faida zake nini
- Tatizo la maabara litakuwa limekiwisha na hakuna ulazima shule kuwa na maabarabadla yake wanaweza kuwa video room ya wanafuzi kuona kila practical inafanyikaje. kama shule haina mwalim au zile topic ngumu practical. One time cost. na hivyo ufanisi na matoek ya mwnaafunzi kuboreka.
- kwa mwanafuzi itasaidia akiwa nyumbani anaweza kuona zaidi ya video ya anumba. anaweza kuona video ya lawas of motion.zaidi kuelew kama hakuelewa mwalimu darsani. mwnafuzi kuuliza maswali na kuongeza ubora wa elimu.
Wito
Tuwaombe wabunge tunaowajua na tuwashawishi watumie japo kias fulani cha pesa za mfuko wa jimbo kufanya kitu hiki. Mbunge atakeyajribu kufanya hivi ataona serikali inaiga siku si nyingi. Binafis najua hili linawezekana lakini sina uwezo wa kuorangise resources, na sina access ya kuwapa idea hii wale wenye uwezo wa kufanya maamuzi. So tusaidiane.