Kutumia jina na sura katika products

Kutumia jina na sura katika products

mutu murefu

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
996
Reaction score
2,636
Habari wadau wa jukwaa hili.

Naombeni msaada wenu! Nina rafiki yangu mmoja (wa kike), anaomba msaada wenu.

Ishu iko hivi! Kuna kampuni moja apa mjini imemuomba kutumia jina lake na sura yake katika products zao za urembo (yaani wanabadili jina la hizo products zitakua kwa jina lake na zitakua na picha yake)..products hizo ni kama

Lipstick
Lotion
Mafuta ya nywele
Rangi za kucha
Sabuni

Wataingia mkataba kabisa na kulipwa...sasa ishu ya malipo hajajua awaambie kiasi gani? Naomba wenye uzoefu na hii biashara watusaidie je ni kiasi gani awambie wamlipe kwa kutumia jina na sura yake katika products zao.

Asanteni
 
Yeye ndio mwenye uchungu zaidi wa jina lake na sura yake.
Hakuna mtu mwingine mwenye uchungu zaidi na sura yake zaidi yake mwenyewe.
 
Atafute mwanasheria vitu vingine si vya kuingia ingia tu,ataliwa
 
Habari wadau wa jukwaa hili.

Naombeni msaada wenu! Nina rafiki yangu mmoja (wa kike), anaomba msaada wenu.

Ishu iko hivi! Kuna kampuni moja apa mjini imemuomba kutumia jina lake na sura yake katika products zao za urembo (yaani wanabadili jina la hizo products zitakua kwa jina lake na zitakua na picha yake)..products hizo ni kama

Lipstick
Lotion
Mafuta ya nywele
Rangi za kucha
Sabuni

Wataingia mkataba kabisa na kulipwa...sasa ishu ya malipo hajajua awaambie kiasi gani? Naomba wenye uzoefu na hii biashara watusaidie je ni kiasi gani awambie wamlipe kwa kutumia jina na sura yake katika products zao.

Asanteni
Hivi wa2 mmefikia hatua hii ya ufinyu wa kufikilia mpaka unaleta maombi kwetu kua kati ya wali na ugali ule nini?
but hongera kwa kuandika
 
Back
Top Bottom