mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 996
- 2,636
Habari wadau wa jukwaa hili.
Naombeni msaada wenu! Nina rafiki yangu mmoja (wa kike), anaomba msaada wenu.
Ishu iko hivi! Kuna kampuni moja apa mjini imemuomba kutumia jina lake na sura yake katika products zao za urembo (yaani wanabadili jina la hizo products zitakua kwa jina lake na zitakua na picha yake)..products hizo ni kama
Lipstick
Lotion
Mafuta ya nywele
Rangi za kucha
Sabuni
Wataingia mkataba kabisa na kulipwa...sasa ishu ya malipo hajajua awaambie kiasi gani? Naomba wenye uzoefu na hii biashara watusaidie je ni kiasi gani awambie wamlipe kwa kutumia jina na sura yake katika products zao.
Asanteni