- Thread starter
- #21
Kumbe Tanzania haitakiwi kuanza kwenye jina la kampuni binafsi, ok sawa. Nilidhani kwasababu mimi pekee nikiwa ndiye distributor wa bidhaa kutoka kiwanda fulani huko kwa mabeberu, ningeweza kuandika Tanzania XYZ Distributors, kumbe hiyo haikubaliki.Unaweza kuiita Mkonge (T) Ltd kuonyesha tuu ni kampuni iliyosajiliwa Tanzania, mfano Norman & Dawbarn (Tanzania) Ltd lakini ipo ya UK au COWI (T) Ltd lakini zipo Cowi za nchi nyingine huwezi kuanza na Tanzania Mkonge Ltd