Kumbe Tanzania haitakiwi kuanza kwenye jina la kampuni binafsi, ok sawa. Nilidhani kwasababu mimi pekee nikiwa ndiye distributor wa bidhaa kutoka kiwanda fulani huko kwa mabeberu, ningeweza kuandika Tanzania XYZ Distributors, kumbe hiyo haikubaliki.Unaweza kuiita Mkonge (T) Ltd kuonyesha tuu ni kampuni iliyosajiliwa Tanzania, mfano Norman & Dawbarn (Tanzania) Ltd lakini ipo ya UK au COWI (T) Ltd lakini zipo Cowi za nchi nyingine huwezi kuanza na Tanzania Mkonge Ltd
Umewahi kutana na kampuni binafsi inatumia jina la Nchi yake!?..Yani neno Tanzania linaua ushindani wa ndani?! Yani Tanzania haitakiwi kutumika au kutumiwa na kampuni binafsi popote pale?!
Ndio naifahamu, lakini mchangiaji mmoja kasema ukiona hivyo ni mali ya serikali au serikali ina hisa.
Bayer Tanzania LTD iko upanga nyuma ya kusutu court jirani na Skanka Jensen.Umewahi kutana na kampuni binafsi inatumia jina la Nchi yake!?..
Bayer Tanzania LTD iko upanga nyuma ya kusutu court jirani na Skanka Jensen.
Ni wahindi wamiliki sasa sijui undani wake, old niliambiwa ni wawakilishi wa bidhaa zote za Bayer AG ya ujerumani hapa Tanzania.
Nakubaliana nawewe ila hiyo Bayer Tanzania LTD iko hivyo sio kwenye mabano. Sibishani ila nakueleza ninachokiona.Mkuu kama nilivyo kuambia Hiyo bayer inaweza kuwepo dunia nzima kuweka utambulisho wa sehemu gani rasmi inapo operate ndio wanaweka jina la nchi mbele ili lisi confuse watu na mashirika ambao wana deal nao , lakini siyo jina lao kuna taratibu za kufanya ila hairuhusiwi kuweka jina la nchi, fikiria unadeal na bayer lakini ipo zaidi ya nchi 30 duniani utatumbuaje ipi ni ipi? Inabidi uitambulishi ni Bayer lakini ambayo imesajiliwa Tanzania hivyo huwa wanaweka kwenye mabano (Tanzania) ama (T)
Nakubaliana nawewe ila hiyo Bayer Tanzania LTD iko hivyo sio kwenye mabano. Sibishani ila nakueleza ninachokiona.
Nashukuru kwa maarifa uliyonijuza hapa.
Mkuu ni kitu gani hujaelewa kwa 13 mega pixel kuhusu hiyo Tanzania LTD!?..Bayer Tanzania LTD iko upanga nyuma ya kusutu court jirani na Skanka Jensen.
Ni wahindi wamiliki sasa sijui undani wake, old niliambiwa ni wawakilishi wa bidhaa zote za Bayer AG ya ujerumani hapa Tanzania.
Nimekuelewa vizuri pia nashukuru mchango wako. Kuhusu hiyo kampuni sijui labda wamejisahau lakini ndivyo wanajiita.Watakuwa wamejisahau kuweka mabano, Mfano, kampuni za south africa huwa wanaweka SA pty kuonyesha ni ya south africa kwa za Tanzania nadhani sina uhakika inatakiwa kuwa kwenye mabano, nime deal na makampuni mbali mbali ya ndani na nje hapa hapa tanzania so far ni vitu ambavyo nime vi observe na hata nilipokuwa nnasoma corporate governance kwa Tanzania hutakiwi kutumia jina la nchi wala jina la utawala wa ufalme wa Uingereza unaposajili kampuni yako n.k
Nimekuelewa vizuri na pia nikushukuru kwa mchango wako. Ukweli sikujua tofauti ya Bayer Tanzania LTD na Tanzania Bayer LTD kama zinatofauti KIMAANA. Niliona ni swala dogo la utashi wa mtu, kumbe ni la ki mamlaka na sheria. Nanye Go na Go Nanye ni tofauti, hivyo nimekuelewa na nakushukuru sana.Mkuu ni kitu gani hujaelewa kwa 13 mega pixel kuhusu hiyo Tanzania LTD!?..
Hakuna nchi kampuni binafsi inaitwa jina la nchi husika ila inakuwa ni (x) LTD kumaanisha hiyo ni branch/subsidiary/plant ndani ya nchi husika. Hujiulizi kwanini haijaitwa Tanzania Bayer LTD!?..
Hivi kuitwa Go Nanye na Nanye Go ni sawa!?..