Kutumia kondom ni njia mojawapo ya kutokuwa na upendo wa dhati?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
kwa mtazamo wangu ni kweli utumiaji kondom inapunguza upendo coz utakuta wasichana wengi wanasema nmepata boy mpya bt natumia nae kondom ukimuuliza atakwambia sijampenda niki2mia nae kondom nitaanza kumpenda?dat y nasema kondom inapunguza upendo wa dhat.
 
kondom ni kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali yanayotokana na ngono, ni vizuri kufahamiana zaidi kiafya ndipo mpango wa pekupeku uanze! sasa wewe habari za kondom inapunguza upendo wa dhati zinaingiaje hapo? hiyo ni dawa ya mapenzi mjukuu wangu...!
 
Unafamu kuwa kondoma zilianza kutengenezwa zamani zile kwa lengo la kuzuia mimba zisizotarajiwa hasa kwa wali ndani ya ndoa yaani birth control?? Kwa hiyo condom has nothing to do on your love perspective. Tumieni tu. tena inasaidia kwa wale wanaowahi kufika kileleni kabla ya kumridhish mwezako.
 
Kondom ni kinga kwani huzuia magonjwa ya zina then hta unplanned pregnancy so am not sure that inapunguza upendo
 

Mijadala yako huwa inaniacha hoi sasa wewe unataka day one ugongwe dry?
 
Ila wanawake hawapendi kabisa condom, utakuta visingizio kibao mara mafuta yake mabaya, mara zinaumiza, mara condom sio tamu. Wanaume tuwe ngangari na tuwe ndio chanzo cha mabadiliko kwa kusisitiza kutumia condom wakati wote ili kuliokoa taifa lisiangamie kwa ukimwi. Always use condom.
 
Kondom ni kinga kwani huzuia magonjwa ya zina then hta unplanned pregnancy so am not sure that inapunguza upendo

Kijana unajua kondomu hasa imekusudiwa kuzuia mimba na sio magonjwa ya zinaa ila zinasaidia ikiwa utatumia vizuri kwa asilimia 100%
 

Kwa experiance niliyonayo mwanaume ndio mwenye uamuzi tutumie kondom au tupige dry wanawake huwa hawana say wakisha lainika yaani ni kuchovya tu baadae ndo atakuuliza hukuvaa mprira! Mungu mkubwa watu hubadilika na namwomba awabadilishe wale wazinzi na walevi.
 
Mwaaaaa!
 

Mpenzi unanifutilia kwa karibu sana nusu niuze cd kuhusu our first night tugeza ila ulikuwa na msimamo ile mbaya nakumbuka ulivyo nitoa usiku kwenda kutafuta ndomu halafu nipokosa ukaniambia leo tu siku nyingine sikupi! 😛
 


una miaka km ya jina lako?
si kweli ulosema
katafute sababu za condom
na katafute vtu vnavyoonyesha mtu HAna upendo wa kweli kwa mpz wake
 
twenty2,
ile kitu uso kwa uso ni alama ya kuaminiana tu na si kupenda kwa dhati...
swala la condom kupunguza penz la dhat si kweli, infact condom inaongeza penz la dhati.
 
nipate malaya disco nisitumie kondomu? Kondom ni ndio mpango mzima!
 



Mmm hao wanawake wako wapi wasiojitambua,wasiojua thamani ya maisha yao, yaani hata sikumbuki peku peku niliifanya lini
 
hpo unasisitiza kutokutumia condom c ndiyo???
 
yawezeka hata twenty2 bado hujafika weye!!! dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…