Kutumia lugha ngeni kwenye filamu za kitanzania ni ujanja au ni utumwa?

Kutumia lugha ngeni kwenye filamu za kitanzania ni ujanja au ni utumwa?

MRMARTIN5000

New Member
Joined
Oct 3, 2026
Posts
4
Reaction score
4
Kuna swali najiuliza mbona filamu za nje mfano Ufaransa wanaongea Kifaransa, Marekani nk. Lakini mbona za kibongo huwezi kuangalia movie mwanzo mpaka mwisho bila kujisikia Kingereza, sasa waga najiuliza swali wanataka iuzwe kimataifa.

Aje huko nje mfano Waingereza Marekani China india nao wanafatiliaga filamu za Kiswahili Afrika kama tunavyo zithamini sisi au hata waki angalia nikama utalii tu.

Wanavyo angalia wanyama? Naombeni majibu wakuu nijibu nijue siyo kuni shambulia asanteni
 
Back
Top Bottom