Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Ok. Ninayotaka mimi ni kuangalizia simu kwenye pc. Nafanya kila kitu kwenye simu ila ina display na hata sauti kwenye PC.Mim naitafutaga ile unafanya simu kama mouse
Mim naitafutaga ile unafanya simu kama mouse
Download app inaitwa MONECT kutoka playstore then utapewa link nyingine ya kudownload setup kwaajili ya pc yako.Mim naitafutaga ile unafanya simu kama mouse
Hiyo inatumia MB nilikua natumia app flani hivi jina silikumbuki lkn sim inapaswa iwe vizuri isiwe ina stackMim naitafutaga ile unafanya simu kama mouse
Mim naitafutaga ile unafanya simu kama mouse
Ulikuwa Unatumia built in miracast ya win 10 ama 3rd party solutions?Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ
RAM 8 GB.
Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display kupitia kwenye PC. Mirroring Casting kama sikosei. Sasa inagoma imetokea baada ya ku update Windows ambayo ni Windows 10 64bit.
Sasa inanipa ujumbe huu
"Your PC or Mobile device doesnt support Miracast,So it cant project wirelessly "
Simu ni ile ile na PC ni ile ile ambayo before ilikuwa inaonesha bila shida. Naombeni msadaa kama kuna mtaalamu au kama naweza pata miracast nika install. Kwenye mtandao nmetafuta bila mafanikio.
CHIEF MKWAWA na wadau wengine nmeleta hoja mezani
Update driver ya wifi card yako. Pia nenda kwenye device manager uwashe Microsoft Wi-Fi direct Virtual adapter. Ipo chini ya Network Adapters.Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ
RAM 8 GB.
Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display kupitia kwenye PC. Mirroring Casting kama sikosei. Sasa inagoma imetokea baada ya ku update Windows ambayo ni Windows 10 64bit.
Sasa inanipa ujumbe huu
"Your PC or Mobile device doesnt support Miracast,So it cant project wirelessly "
Simu ni ile ile na PC ni ile ile ambayo before ilikuwa inaonesha bila shida. Naombeni msadaa kama kuna mtaalamu au kama naweza pata miracast nika install. Kwenye mtandao nmetafuta bila mafanikio.
CHIEF MKWAWA na wadau wengine nmeleta hoja mezani
Chief nina swali.....naweza kurun application ya adobe illustrator kwa cpu yenye processor ya intel celeron?Ulikuwa Unatumia built in miracast ya win 10 ama 3rd party solutions?
Anza na built in kwanza nenda kwenye computer Taskbar pale chini kulia kabisa ambapo notification hutokea click pale kuna menu inakuja kama simu ambayo unaweza toggle wifi on na off na mambo kibao, click mahala kumwandikwa connect Kisha chagua project to this pc.
Then kwenye simu nenda miracast Utaliona pc then connect.
ndio inawezekana, una celeron ipi?Chief nina swali.....naweza kurun application ya adobe illustrator kwa cpu yenye processor ya intel celeron?
[emoji106]Ulikuwa Unatumia built in miracast ya win 10 ama 3rd party solutions?