Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ
RAM 8 GB.
Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display kupitia kwenye PC. Mirroring Casting kama sikosei. Sasa inagoma imetokea baada ya ku update Windows ambayo ni Windows 10 64bit.
Sasa inanipa ujumbe huu
"Your PC or Mobile device doesnt support Miracast,So it cant project wirelessly "
Simu ni ile ile na PC ni ile ile ambayo before ilikuwa inaonesha bila shida. Naombeni msadaa kama kuna mtaalamu au kama naweza pata miracast nika install. Kwenye mtandao nmetafuta bila mafanikio.
CHIEF MKWAWA na wadau wengine nmeleta hoja mezani