Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana Lekanjobe kwa maelezo yako murua na mwanana, Ubarikiwe sana kwa faida kubwa sana uliyotupaSAfi sana leo Bwabwa kaja na swali la heshima kwa wote. Du! Kaokoka siku hizi au? Inapendeza sana, maana ilikuwa ninajiuliza mara mbilimbili kufungua, kwani title inaweza kuwa nzuri lakini kilichoko ndani ukashangaa ni tofauti utadhani gazeti la Alasiri ambalo kichwa na yaliyomo ndani hayafanani kabisa.
Back to business. Bwabwa, kama unasoma kitu chochote tu hata kitabu kwenye mwanga finyu unayastrain sana macho yako kwa sababu visual acuity yake huwa mbaya, optic nerves zako zitafanyishwa kazi ya ziada kuhakikisha emage ya unachokisoma inachukuliwa kwa usahihi ili brain itafsiri na kukuwezesha upate maana halisi ya unachokisoma. Mwanga mkubwa unarahisisha image hiyo kuchukuliwa haraka na kwa wepesi, akili yako nayo itaunganisha ulichokiona ili kukupatia tafsiri ya emage hiyo bila nguvu nyingi.
Ukilazimisha kuangalia vitu gizani ndiyo maana unajikuta unaminya macho kusharpen the focused emage, kiasi cha kujikuta unatumia calories za ziada ambazo zingetumika kwa kazi zinginezo. Huwezi kusoma kwa muda mrefu na kwa ufnisi kama unatumia kibatari ukilinganisha na mwanga wa umeme au mwanga wa jua. Ndio maana tube lights zinafaa zaidi kusomea kwa sababu ya brightness that is almost equating to natural light ambayo ndio reference point ya ideal reading light.
Source of light pia inatakiwa isiwe karibu na macho yako. Ndio maana unashauriwa kupunguza mwanga wa screen yako kwa screen filters ili sharpness ya light rays ipunguzwe kufanana-fanana na natural intensity. Usiku ukizima taa ina maana surounding environment ni black, mwanga unakuwa focused through your pupils na kukuumiza kwa kuwa utabaki kurekebisha lens zako wakati wote kupata emage safi. Ukiwasha taa zingine una-neutralize mwanga wa laptop na ule mwingine, na kujiongezea usalama zaidi wa macho yako. wanaozima taa kuona kideo ni kwa sababu kwanza screen ni kubwa na emage unazoziona ni kubwa vilevile. halafu unakaa zaidi ya metre tatu.
Hayo ni maelezo ya kawaida bila kuingia more kwenye scientific reasoning ambako pengine itakuchanganya tu.