kutumia picha katika bandiko la biashara.

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,039
Hello Learned brothers and sisters,

Hivi mtu akitumia picha ya mtu mwingine kwenye bandiko lake la biashara bila ridhaa yake hapo atakuwa ametenda kosa gani?

Karibuni kwa michango yenu.
 
Niliwahi kumkuta jamaa uko fb akijitangaza kwa kutumia picha za tv zangu ambazo nimezipiga mimi na kuzirusha mtandaoni, nikamwambia alikua mkali kidogo then akakubali na kuziondosha,... ni kosa kama makosa mengine tu ya kitumia kitu cha mtu bila ridhaa yake
 
Thanks brother,

Ndiyo ni kosa kweli Mkuu.

So what will be the legal basis?
 
Kwanza ungetujuza nini kilicho kusibu.
Sababu hapa unaomba ushauri hewa kwa kitu cha kusadikika.
 
Soma na uelewe nilicho kiandika.
Au kwa lugha nyepesi.... tukushairi nini kwenye hakuna?

Nimekuelewa sana ulicho kiandika ndiyo maana nikakwambia uthibitishe kama ni ishu ya kusadikika.

Pia umetumia kipimo gani kujua kama ni ishu ya kusadikika?

Ukishindwa kufanya hivyo nakuomba uwe kimya wenye uelewa na sheria watatoa majibu.
 
Naomba nikupuuze tafadhali
 
Back
Top Bottom