Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks brother,Niliwahi kumkuta jamaa uko fb akijitangaza kwa kutumia picha za tv zangu ambazo nimezipiga mimi na kuzirusha mtandaoni, nikamwambia alikua mkali kidogo then akakubali na kuziondosha,... ni kosa kama makosa mengine tu ya kitumia kitu cha mtu bila ridhaa yake
Soma na uelewe nilicho kiandika.Unaweza kuthibitisha kuwa ni vitu vya kusadikika Mkuu?
Soma na uelewe nilicho kiandika.
Au kwa lugha nyepesi.... tukushairi nini kwenye hakuna?
Naomba nikupuuze tafadhaliNimekuelewa sana ulicho kiandika ndiyo maana nikakwambia uthibitishe kama ni ishu ya kusadikika.
Pia umetumia kipimo gani kujua kama ni ishu ya kusadikika?
Ukishindwa kufanya hivyo nakuomba uwe kimya wenye uelewa na sheria watatoa majibu.