Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is no evidence that a cell phone can start a fire while using a gas cooker. However, cell phones can create sparks that could ignite flammable vapors, like gasoline or natural gasWataalamu watupe Elimu zaidi, asaivi wengi wanapika kwa kutumia gesi. Je, ni kweli kwamba unapotumia simu karibu na jiko la gesi wakati wa kupika kunaweza kusababisha mlipuko?
mlipuko wa gasHujaweka sawa
Mlipuko wa gesi au wa simu?
Yes, kuna Ukweli kuhusu suala hili.Wataalamu watupe Elimu zaidi, asaivi wengi wanapika kwa kutumia gesi. Je, ni kweli kwamba unapotumia simu karibu na jiko la gesi wakati wa kupika kunaweza kusababisha mlipuko?
It's not safe to use a mobile phone while cooking with a gas cooker if there's a gas leak. A spark from the phone could ignite the gas, causing a fire or explosion (LNG manufacturer's/supplier's user warning)Mimi ni Profesa Kichuguu. Nakuambia kuwa hiyo siyo kweli; mtungi wa gesi unaweza kulipuko kutokana na kuwa kwenye mazingira ya joto kali tu.
Gas leak itasababisha moto kwa sababu zozote zile siyo cellphone tu, na hayo ni makosa ya mtumiaji siyo kwa sababu ya cellphone. In fact kukiwa na gas leaks huwezi hata kupika kwa vile leaks hizo zitasababisha jiko lako kuungua. Unatakiwa uzuie gas leaks kabisa kwani zaidi ya kusababisha moto, pia ni sumu kwa binadamu.It's not safe to use a mobile phone while cooking with a gas cooker if there's a gas leak. A spark from the phone could ignite the gas, causing a fire or explosion (LNG manufacturer's/supplier's user warning)
Radiation from a mobile phone can cause an explosion when it meets on a parallel line with the radiation from a leaking gas cylinderGas leak itasababisha moto kwa sababu zozote zile siyo cellphone tu, na hayo ni makosa ya mtumiaji siyo kwa sababu ya cellphone. In fact kukiwa na gas leaks huwezi hata kupika kwa vile leaks hizo zitasababisha jiko lako kuungua. Unatakiwa uzuie gas leaks kabisa kwani zaidi ya kusababisha moto, pia ni sumu kwa binadamu.
That is a blank lie if you do not specify what kind of radiation will cause that explosion. Typically, gas explosions require infra-red radiation, and cellphones operate in the microwave range, which is far below the infra-red range.Radiation from a mobile phone can cause an explosion when it meets on a parallel line with the radiation from a leaking gas cylinder
mimi siyo engineer, ila kitaaluma ni healer (Med Dr), hizo info nimejitafutia madesa tu, ili niwe naufahamu, because, I happened to attend the victims of such accidents, so nikawa najiongezea elimu ili kuwa educate wateja wangu and others, as a prevention stratergyThat is a blank lie if you do specify what kind of radiation will cause that explosion. Typically, gas explosions require infra-red radiation, and cellphones operate in the microwave range, which is far below the infra-red range.
I am not sure if your name of DR VRM reflects your knowledge depth in engineering, since any Ph.D. holder in engineering should know these matters clearly.
Mambo ya Google haya. Tahadhari ni muhimuThere is no evidence that a cell phone can start a fire while using a gas cooker. However, cell phones can create sparks that could ignite flammable vapors, like gasoline or natural gas
Betri za simu zinaweza kulipuka zikiwa exposed na joto zinaweza kulipuka.Wataalamu watupe Elimu zaidi, asaivi wengi wanapika kwa kutumia gesi. Je, ni kweli kwamba unapotumia simu karibu na jiko la gesi wakati wa kupika kunaweza kusababisha mlipuko?
google ni tool ya knowledge kama unaweza kufanya SMART search na ku-veirfy search outcomesMambo ya Google haya. Tahadhari ni muhimu
Basi theories ulizojifunza siyo sahihi; sikiliza ukweli kutoka kwa mainjinia kama mimi. Cellphones zinaoperate katika frequencies za kuanzia 3GHz hadi 3THz, na infra-red radiation inayosabaisha moto iko kwenye frequencies za kuanzia 3THz hadi 405THz. Ile Near-infra red tadiation ambayo ndiyo hasa inayosababisha moto inaazia 200THz.mimi siyo engineer, ila kitaaluma ni healer (Med Dr), hizo info nimejitafutia madesa tu, ili niwe naufahamu, because, I happened to attend the victims of such accidents, so nikawa najiongezea elimu ili kuwa educate wateja wangu and others, as a prevention stratergy