Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 893
- 1,021
- Thread starter
- #21
Hebu endelea zaidiBasi theories ulizojifunza siyo sahihi; sikiliza ukweli kutoka kwa mainjinia kama mimi. Cellphones zinaoperate katika frequencies za kuanzia 3GHz hadi 3THz, na infra-red radiation inayosabaisha moto iko kwenye frequencies za kuanzia 3THz hadi 405THz. Na ile Near-infra red ambayo ndiyo inasababisha moto inaazia 200THz.
Vyanzo vingi vya moto kwenye vituo vya mafuta na maeneo yenye leakage ya gesi siyo signals za cellphone bali ni electrostatic dischage ambayo pamoja na mambo mengine inategemea na nguo ulizovaa (nylon huvuta electronstatic chrages) sana, na hali ya hewa ya eneo husika. maeneo yenye dry air yana accumulate electrostatic charge sana.
Ila gesi inasababisha kulipuka