jerry spare parts service
Member
- May 2, 2025
- 29
- 22
Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu 30 badala ya elfu 80, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare parts feki siyo tu kwamba huisha haraka, bali huwa hazijakidhi viwango vya kiusalama wala vya utendaji wa gari. Zinaweza kuharibu sehemu nyingine za gari kama diski, injini, radiator, au hata gearbox. Uharibifu huu wa mnyororo mwisho wake huwa ni hasara kubwa, wakati lengo lako lilikuwa kuokoa pesa.
Kama fundi na muuzaji wa spare parts, nimeona magari mengi yakiingia kwenye garage yakiwa na matatizo yaliyosababishwa na vipuri visivyo halisi. Na mara nyingi mmiliki huonekana kushangaa kwa sababu alihisi amefanya "deal nzuri."
Mambo ya kuzingatia unapochagua spare parts:

- Hakikisha unajua chanzo cha bidhaa unayonunua
- Uliza kama kuna warranty
- Toa kipaumbele kwa original au OEM parts
- Zungumza na fundi unayemwamini kabla ya kununua chochote
Unahitaji spare parts halisi kwa bei nafuu na ushauri wa kitaalamu? Tembelea Jerry Spare Parts Garage – tunakuhudumia kwa uaminifu na uzoefu.
📍 Mikocheni, Dar es Salaam
📞 Simu/WhatsApp: 0715 666 656
📸 Instagram: @255jerry