cosmas peleka ramadhan
New Member
- Jun 27, 2016
- 1
- 3
Aliyekwambia sponji ni kipande cha godoro nani?Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati.
Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo;
Naomba kueleweshwa kuhusu suala hili
Pia soma:Utayarishaji chapati kwa kutumia sponji ni tishio kwa afya ya mlaji
PHd kwenye moja na mbiliAliyekwambia sponji ni kipande cha godoro nani?
Nenda dukani kaagize sponji uone watakata godoro?
Ni PhD.PHd kwenye moja na mbili
Aliyekwambia sponji ni kipande cha godoro nani?
Nenda dukani kaagize sponji uone watakata godoro?
Nyie watu usikute ni watu wa maana kabisa kwenye familia zenu!Linaungua mpaka linaisha ila sponchi sio godoro
Suruali sio nguo ndo unamaanishaLinaungua mpaka linaisha ila sponchi sio godoro
Godoro ni spnge ila sponge sio lazima liwe godoro.btw mim huwa sili chapat nikishakuta tu jamaaa anasukuma ila anachoma na sponchi.wamama nyumban hutumia kitambaa safi cheupe skiu hiz wanaona kitambaq kizqman wanatumia magodoro.ambayo yana disolve in due timeAliyekwambia sponji ni kipande cha godoro nani?
Nenda dukani kaagize sponji uone watakata godoro?
Kitambaa jeansSuruali sio nguo ndo unamaanisha
Sasa hapa ndo umeandika nini, hauli chapati za sponji ila nyumbani mnatumia magodoro!Godoro ni spnge ila sponge sio lazima liwe godoro.btw mim huwa sili chapat nikishakuta tu jamaaa anasukuma ila anachoma na sponchi.wamama nyumban hutumia kitambaa safi cheupe skiu hiz wanaona kitambaq kizqman wanatumia magodoro.ambayo yana disolve in due time