Kutumiwa meseji za maombi ya urafiki

hao ni wale wanaofanya biashara za mitandao...wanaboa balaa....lakini later wanajitambulisha
 
Hapana sijawahi fikiria hilo hiyo linked in naingiaga tu ila siijui vizuri ina faida gani?
Ni professional and networking site. Kuna professional figures na makampuni yao ambapo offerings za kazi zinakuwepo. Kinachofanyika unaweka CV yako na experiences ili mtu atakaevutiwa anaweza kukucheki kwa fursa ya kazi. Pia kampuni worldwide zinatangaza kazi kupitia huo mtandao so kuna watu kibao tu.

Ila mawazo yangu ya kibaharia yamenipelekea kutamani kumenya pisi kadhaa mule. Option ya kutuma private message naona ipo mule 😀
 

Mkuu

Sifa zako zimewafikia wameamua wenyewe kwa hiari yao kuonja wathibitishe?

Ni swali tu nimejiuliza
 
omba video call..

hao ni wale wale wajinga wajinga akina Nandy supermarket qumamake zao
 
Huwa nilikuwa naona wanaotafuta a/c za linkedin zenye majina fulani wauziwe nikawa sielewi elewi. Kumbe ni uwanja wa fursa, ngoja niipe muda.

Pisi zimo naziona nyingi hasa mishangazi jilipue, liwalo na liwe.
 
Nshazipokea sana na zilima ban. Wengi ni madume na kama si madume ila lengo hao wengi ni watu wa network marketing au wana vibiashara sasa wanajua ukiona pcha ya pisi utakubali urafiki later on ndio waje na biashara zao.
Namba wanazitoa kwenye magroup
 
Yaan baharia wa kuvuna nauli atumie mbinu hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watu wameshatokaa huko kitamboo.

Inapigwa tit 4 tat na hakuna anayeshangaa.
 
Yaan baharia wa kuvuna nauli atumie mbinu hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watu wameshatokaa huko kitamboo.

Inapigwa tit 4 tat na hakuna anayeshangaa.
Hivi wizo yuko wapi jamani? Nimemmisss sana wifi yangi jamani 🥴🥴🥴🙈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…