Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Utapotea, wengi pale waongo tu ila wanajibrand tu.Katika sehemu nataman kuwinda chicks za mtandao ni LinkedIn kule. Any clues🤣?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapotea, wengi pale waongo tu ila wanajibrand tu.Katika sehemu nataman kuwinda chicks za mtandao ni LinkedIn kule. Any clues🤣?
hao ni wale wanaofanya biashara za mitandao...wanaboa balaa....lakini later wanajitambulishaNatumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
Ni professional and networking site. Kuna professional figures na makampuni yao ambapo offerings za kazi zinakuwepo. Kinachofanyika unaweka CV yako na experiences ili mtu atakaevutiwa anaweza kukucheki kwa fursa ya kazi. Pia kampuni worldwide zinatangaza kazi kupitia huo mtandao so kuna watu kibao tu.Hapana sijawahi fikiria hilo hiyo linked in naingiaga tu ila siijui vizuri ina faida gani?
Blaza una kazi za kuhonga wadada,.....Mimi magrupu nimeyajaza mwaka huu. Huwaga sinaga magrupu kwenye simu yangu.
Linkedin labda kama una fursa uwakamatie hukoSina kipaji hicho kabisa,
🤣🤣 I have no clues mkuu fanya hunting uko mtaani kwakoKatika sehemu nataman kuwinda chicks za mtandao ni LinkedIn kule. Any clues🤣?
Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
omba video call..Natumaini mu wazima.

Huwa nilikuwa naona wanaotafuta a/c za linkedin zenye majina fulani wauziwe nikawa sielewi elewi. Kumbe ni uwanja wa fursa, ngoja niipe muda.Ni professional and networking site. Kuna professional figures na makampuni yao ambapo offerings za kazi zinakuwepo. Kinachofanyika unaweka CV yako na experiences ili mtu atakaevutiwa anaweza kukucheki kwa fursa ya kazi. Pia kampuni worldwide zinatangaza kazi kupitia huo mtandao so kuna watu kibao tu.
Ila mawazo yangu ya kibaharia yamenipelekea kutamani kumenya pisi kadhaa mule. Option ya kutuma private message naona ipo mule 😀
Nshazipokea sana na zilima ban. Wengi ni madume na kama si madume ila lengo hao wengi ni watu wa network marketing au wana vibiashara sasa wanajua ukiona pcha ya pisi utakubali urafiki later on ndio waje na biashara zao.Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
Hatari sana hii.Hahahahahah naskia ni watu wa network marketing🤣
Hivi wizo yuko wapi jamani? Nimemmisss sana wifi yangi jamani 🥴🥴🥴🙈Yaan baharia wa kuvuna nauli atumie mbinu hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watu wameshatokaa huko kitamboo.
Inapigwa tit 4 tat na hakuna anayeshangaa.
Wizooo yuko mbna, nenda uzi wa selfika 2Hivi wizo yuko wapi jamani? Nimemmisss sana wifi yangi jamani [emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji85]
Kanisusa sana yaaniiWizooo yuko mbna, nenda uzi wa selfika 2