Kuna mmoja alinijia pia. Ni manzi hakusema ametoa namba wapi, nikapiga chini. Wa pili juz kat tu akasema alikotoa namba yangu na mimi nikathibitisha ni kwel tuko wote katika group flan la wauza story wa jamii forum bwana
singanojr . Nikasema okay uko wapi, alipojichanganya akasema Mafinga!.
Sasa kutokana na harakat zangi , Mafinga ni moja ya maeneo nayajua nje ndani nikampiga sana maswali na karika maoongez nikaanza kumtajia mpaka chocho za Mafinga na nikamwambia nitakutimbia after simetime nikitia mgui mafinga..
Mmhhh akaona huyu sioo 😂😂😂 , kama mipango ya kuniingiza mjini akaona kama haitakua rahis bile, akawasha gari akateleza!! Mbioool 😆😆😆