Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 586
Mwaka 1963 mwezi November wamarekani walimpoteza Rais wao wa 35 John F. Kennedy , Tukio ambalo kwa hakika hakuna ayelifurahia kutokana namna ambavyo mauaji hayo yalivyotokea, inasemekana Rais John F. Kennedy aliuawa na mdunguaji aliyekuwa kwenye moja ya jengo la ghorofa , wakati RaisJohn F. Kennedy akiwa kwenye msafara kwenda kwenye moja ya jimbo ambalo lilikuwa alitembelee kwa malengo ya kisiasa na kiutendaji kama Rais wa nchi.
Tukio hilo la mwaka 1963 , leo najaribu kulifananisha na shughuli ya walinzi wa Rais wa marekani wa sasa ndugu Donald Trump akiwasili nchini ujerumani kuhudhulia mkutano wa mataifa ishirini yenye nguvu za kiuchumi duniani unatakaofanyika kwenye jiji la hamburg , kuwa tukio lile linawafanya walinzi kuwa makini sana na kutizama ulinzi wa anga na kwa kila sekunde utaona mlinzi akingalia juu . Hongereni sana walinzi wa Rais wa marekani kwa kutokutaka kusahau makovu ya mwaka 1963.
Jionee na wewe rafiki hapa....