Tetesi: kutunguliwa toka juu , haijawahi kuwaacha salama walinzi wa rais wa marekani.

Tetesi: kutunguliwa toka juu , haijawahi kuwaacha salama walinzi wa rais wa marekani.

watu na akili zao iyo sekunde moja unayoangalia chini ndo itakayotumika effectively uyu wakwetu mhmh ni mungu tu na mikwara ya Yao mabunduki hakuna akili yoyote inayotumika natamani washtuliwe kidogo siku moja nadhani na mishahara Yao itaanza kupunguzwa siku yao
 
Hao walinzi ni marobot sio watu wa kawaida,unaweza search kujisomea
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyu wakwetu analindwa na magobore, inatakiwa ajifunze kwa wenzake!
Kwa sheria za kwetu hawezi kulindwa na silaha za kivita kwa sababu wanaomlinda hawana mamlaka/vibali vya kutumia silaha hizo. Na pia kwa sababu anataka sifa ya kuonekana na yeye analindwa basi magobole ndio size yake, asubili hadi atakapokuwa na mamlaka na sifa za kupewa ulinzi kamili.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimeitazama...nimecheka vile jamaa wasivyo yaamini Yale majengo....mda wote wanatazama juuu.[emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], Ninachoelewa labda tuanzie hapo, .JF. Kenndey alidunguliwa na CIA najua watoto wengi humu wa mambo haya mtaguna na kususia chakula.

Pili, Mfano, Israel ilipindua makombora ya wapalestina uwanja wa ndege walipokuwa wametegewa ili kulipua viongozi wa ngazi za kitaifa wa Israel wakiwa ziarani. Hii ilitenguliwa Kwa sababu Mossad walifanya kazi kwa weredi uliotukuka.

Sasa hapo, Trump hawezi tunguliwa hata labda afanye kinyume na nchi yake wanavyotaka ndiposa atatunguliwa ila bado wataifanyia USA na siyo nje ya nchi yao.

Kwetu hicho kitu hakitakaa kitokee kamwe.

Na hata pakinuswa tu dalili zozote basi hicho kimtaa au Kata au wilaya inaweza ikafangiliwa Kwa vifaru.
 
Kwanza ndege ya airforce one huwezi kuitungua kirahisi kwani ina counter measure dhidi ya shambulio la makombora,
ikiwemo yale mapovu ya moto ili kulidanganya heat seeking missile liyavamie badala ya kuivamia ndege,
pia rais wa marekani anapokupo mahali juwa hata satelite zinakuwa zimezoom hapo,
mawasiliano yote yanakuwa monitored kiasi kwamba hata kama kuna kombora linakuja kuipiga ndege kabla hata halijafika linaonekana na kuharibiwa
 
Nimeitazama...nimecheka vile jamaa wasivyo yaamini Yale majengo....mda wote wanatazama juuu.[emoji23] [emoji23]
tatizo huwezi kuyacover majengo yote,njia yote anayopita,ndo maana lazima wakae macho kwelikweli na ukichukulia hambug ilikua imechafuka juzi na jana,lazima wawe macho mno
 
Kwanza ndege ya airforce one huwezi kuitungua kirahisi kwani ina counter measure dhidi ya shambulio la makombora,
ikiwemo yale mapovu ya moto ili kulidanganya heat seeking missile liyavamie badala ya kuivamia ndege,
pia rais wa marekani anapokupo mahali juwa hata satelite zinakuwa zimezoom hapo,
mawasiliano yote yanakuwa monitored kiasi kwamba hata kama kuna kombora linakuja kuipiga ndege kabla hata halijafika linaonekana na kuharibiwa
mkuu hivi unaposema mawasiliano yote yanakua monitored ina maana kunakua na joint force kati ya US na serikali ya sehem husika sio?..
sasa hapo kumonitor si ni kuruhusu USA kuingilia mawasiliano ya nchi yako mfano tuseme USA yupo China, Russia, Germany ama UK ina maana wanawaruhusu hawa jamaa kuwasikiliza?..
 
tatizo huwezi kuyacover majengo yote,njia yote anayopita,ndo maana lazima wakae macho kwelikweli na ukichukulia hambug ilikua imechafuka juzi na jana,lazima wawe macho mno
Naona kama danganya boya tu kuangalia majengo ya karibu sasa kama kuna mtu anaweza kaa meter 900 na akadungua atashindwa vipi akiamua deal na POTUS!!..
 
Hii mada imevamiwa na wazungusha mikono 2015 , ambapo evolution ya 2020 watazungusha viuno
 
Back
Top Bottom