Huyu wakwetu analindwa na magobore, inatakiwa ajifunze kwa wenzake!
Hapana alitaka alindwe na wanaopiga push up huku wamebinua makalioUlitaka alindwe na wanaovaa miwani za kuchomelea?
Jamaniiii[emoji1] [emoji1] mna dhambiHuyu wakwetu analindwa na magobore, inatakiwa ajifunze kwa wenzake!
Kwa sheria za kwetu hawezi kulindwa na silaha za kivita kwa sababu wanaomlinda hawana mamlaka/vibali vya kutumia silaha hizo. Na pia kwa sababu anataka sifa ya kuonekana na yeye analindwa basi magobole ndio size yake, asubili hadi atakapokuwa na mamlaka na sifa za kupewa ulinzi kamili.Huyu wakwetu analindwa na magobore, inatakiwa ajifunze kwa wenzake!
tatizo huwezi kuyacover majengo yote,njia yote anayopita,ndo maana lazima wakae macho kwelikweli na ukichukulia hambug ilikua imechafuka juzi na jana,lazima wawe macho mnoNimeitazama...nimecheka vile jamaa wasivyo yaamini Yale majengo....mda wote wanatazama juuu.[emoji23] [emoji23]
mkuu hivi unaposema mawasiliano yote yanakua monitored ina maana kunakua na joint force kati ya US na serikali ya sehem husika sio?..Kwanza ndege ya airforce one huwezi kuitungua kirahisi kwani ina counter measure dhidi ya shambulio la makombora,
ikiwemo yale mapovu ya moto ili kulidanganya heat seeking missile liyavamie badala ya kuivamia ndege,
pia rais wa marekani anapokupo mahali juwa hata satelite zinakuwa zimezoom hapo,
mawasiliano yote yanakuwa monitored kiasi kwamba hata kama kuna kombora linakuja kuipiga ndege kabla hata halijafika linaonekana na kuharibiwa
Naona kama danganya boya tu kuangalia majengo ya karibu sasa kama kuna mtu anaweza kaa meter 900 na akadungua atashindwa vipi akiamua deal na POTUS!!..tatizo huwezi kuyacover majengo yote,njia yote anayopita,ndo maana lazima wakae macho kwelikweli na ukichukulia hambug ilikua imechafuka juzi na jana,lazima wawe macho mno
boya tu weweTusipo mwingiza nani?? unajua namwongelea nani?
ahahahha kweli kabisaHii mada imevamiwa na wazungusha mikono 2015 , ambapo evolution ya 2020 watazungusha viuno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii mada imevamiwa na wazungusha mikono 2015 , ambapo evolution ya 2020 watazungusha viuno