Ethan Cruz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 231
- 331
Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada
Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza mpaka mmeachana...khaa!nimewavulia kofia..Especially wanawake,ur best at this...nooomaaa!
Sasa mmeachana,unatunza zile meseji,unalialia chumbani,unafungua Archive Folder..unasoma Malavidavi ya zile siku zenu mlizokuwa Paradiso ya Mahaba...unalia weeee kama kengele ya Ibada...FOR WHAT?
Kama umekubali aondoke moyoni mwako,ondoa vitu vyote ambavyo ni temptations za kukuremind kuhusu yeye ili usije ukarudisha kivuli cha mtu moyoni....Wanawake ur so weak katika hili,mioyo yenu hugeuka Piriton hapa,mnanyong'onyea weeee,yaani mnahisi kama dunia imekuangukia...I cant live without Felix...Nani kasema wewe,Pumzi unayo,Moyo unao, Macho unayo mawili yanaona,Tafuta Replacement acha uboya! Huyo Felix akigundua unamlilia,miezi 7 baada ya kuachana anajionaje Mfalme...Anajionaje King wako,anaona YESSSS,demu analia mpaka leo kwa ajili yangu...Atakutesa,atakuburuza-buruza hisia zako kama Guta la Soko la Buguruni....Umeumbwa na moyo mzuri lakini atauburuza It will look like Shit....
Destroy Picha zote zinazokupa Nightmares....Album zake za nini???Gallery kwenye Simu weka mbali kule choma ikibidi kama zinakupa matatizo....Hakikisha kila kinachomuhusu kipo kwenye Recycle Bin na delete completely kusiwe na room ya ku-retrieve data!
Ukifanya hivi utaona jinsi anavyopotea taratibu,na baada ya muda itakuwa Historia.....Sasa wewe kumbatia weeeeee mapicha yake...Soma weeee mameseji aliyokuwa anakutumia na kuchat naye...Halafu unajiuliza,Hivi why I cant forget him????Ni sawa na kula halafu unauliza mbona tumbo limejaa...Tumia akili,Ni Maamuzi magumu lakini kama unaujali moyo wako ni lazima uyafanye or else kuwa mtumwa wa mtu asiye-exist kwenye maisha yako!
Lingine,Epuka kwenda sehemu ambazo wewe na EX wako mlikuwa mnaenda sana...Kama mlipenda kwenda KIJIJI Beach kama ndugu yangu chuse hans,ukienda pale mwenyewe unajitafutia shida...Utaanza kukumbuka mliogelea wapi...mlikaa kiti gani na kadhalika....Potea kutoka kwenye hizo Memory Zone kwa muda mpaka utakapokuwa Sure kwamba hazikusumbui anymore!
kiruuuuuuuuuuuuuu