Ndoa nitakatifu na ilianzishwa na Mungu na unapoamua kuoa au kuolewa ni kuwa umeamua kuishi na mwenzi wako kwa hali na mali
kwenye shida na raha.kudumisha ndoa vitu muhimu vinahitajika
1 Busara
2Uvumilivu
3 upendo wa dhati
4 uaminifu
5 ukweli
6 heshima
na mengine mengi ila sasa cha muhimu ni kumjali mwenzio na kumfanyia mambo ambayo nawewe ungependa kufanyiwa kwa mfano kama usingependa mwenzio asi cheat nawe usicheat kama hupendi kugombezwa usigombeze kama hupendi kudanganywa usidanganye yaani kama yale unayopenda kufanyiwa utammfanyia mwenzio utamfanyia mwenzako mtakuwa na ndoa yenye furaha
KIKUBWA ZAIDI YA YOTE NDOA YENU MSHIRIKISHENI MUNGU
FAMILIA IOMBAO PAMOJA HUKAA PAMOJA KATIKA UPENDO