Kutunza ndoa

Kutunza ndoa

shoshte

Senior Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
129
Reaction score
20
Ndoa nitakatifu na ilianzishwa na Mungu na unapoamua kuoa au kuolewa ni kuwa umeamua kuishi na mwenzi wako kwa hali na mali
kwenye shida na raha.kudumisha ndoa vitu muhimu vinahitajika
1 Busara
2Uvumilivu
3 upendo wa dhati
4 uaminifu
5 ukweli
6 heshima
na mengine mengi ila sasa cha muhimu ni kumjali mwenzio na kumfanyia mambo ambayo nawewe ungependa kufanyiwa kwa mfano kama usingependa mwenzio asi cheat nawe usicheat kama hupendi kugombezwa usigombeze kama hupendi kudanganywa usidanganye yaani kama yale unayopenda kufanyiwa utammfanyia mwenzio utamfanyia mwenzako mtakuwa na ndoa yenye furaha
KIKUBWA ZAIDI YA YOTE NDOA YENU MSHIRIKISHENI MUNGU
FAMILIA IOMBAO PAMOJA HUKAA PAMOJA KATIKA UPENDO
 
Yawezekana we ni mtoa huduma za kiroho. Asante ila yataka moyo ndg yangu. Ulimwengu una vishawishi vingi.
 
Shukran sana mpendwa, namuomba sana mungu nimpate mme mwema ambaye tutaweza kujenga na ndoa takatifu
 
Kila kitu ukimtanguliza Mungu yote yanawezekana anasema Omba nawe utapewa so ukimwomba Mungu ni mwaminifu atakujazi.
 
Yawezekana we ni mtoa huduma za kiroho. Asante ila yataka moyo ndg yangu. Ulimwengu una vishawishi vingi.
mimi sio mtoa huduma za kiroho ila namwamini Mungu nanajua unaweza kila kitu ukimshirikisha shida ni kuwa tunafuata tamaa zetu wenyewe tunaangalia outward instead of inward of a person.kuhusu vishawishi ukishaamua kuwa na mtu never look for other things jiepushe navyo ila mwombe Mungu atakupa nguvu
 
asante sana shoshte laiti kama haya yote yangekuwa yanafanyika ndoa ingekuwa ni paradise ndogo
 
ujumbe mzuri ila in reality sijui kama ni hivyo.maana utakuta wengine ni watu wanaomshirikisha mungu,ila nyuma ya pazia yanayofanywa unashangaa.muhimu ni kuomba upate mume ambae muwe mnaheshimiana.ndani ya ndoa mna siri nyingi ambazo mbele ya jamii unaweza ukaonekana mtu wa furaha kumbe sivyo.
 
It sounds but upo kwenye hiyo ndoa???

Labda mwanzilishi wa mada hii alitakiwa asisitize kuwa ni kwa wana ndoa tu,au???????????kuna wenye experience za ndoa toka kwa wanandugu,jamaa na marafiki japo hawajawahi kuwa ndoani,wanaweza kuwa na mchango mzuri pia.Japo waliondoani wanaexperience na ushahidi wa uhakika.
 
Ushauri mzuri mkuu tatizo ni uchakachuaji umezidi :smash:
 
Mimi sio mwana ndoa ila natamani kuwa na ndoa yenye furaha amani upendo ushikamano heshima na yenye kumcha Mungu najua siku hizi watu wameingia kwenye mambo mengi ya anasa na tamaa nyingi kupita kiasi ila turudie yale ya zamani OLD IS GOLD!!!!!!
 
Ndoa nitakatifu na ilianzishwa na Mungu na unapoamua kuoa au kuolewa ni kuwa umeamua kuishi na mwenzi wako kwa hali na mali
kwenye shida na raha.kudumisha ndoa vitu muhimu vinahitajika
1 Busara
2Uvumilivu
3 upendo wa dhati
4 uaminifu
5 ukweli
6 heshima
na mengine mengi ila sasa cha muhimu ni kumjali mwenzio na kumfanyia mambo ambayo nawewe ungependa kufanyiwa kwa mfano kama usingependa mwenzio asi cheat nawe usicheat kama hupendi kugombezwa usigombeze kama hupendi kudanganywa usidanganye yaani kama yale unayopenda kufanyiwa utammfanyia mwenzio utamfanyia mwenzako mtakuwa na ndoa yenye furaha
KIKUBWA ZAIDI YA YOTE NDOA YENU MSHIRIKISHENI MUNGU
FAMILIA IOMBAO PAMOJA HUKAA PAMOJA KATIKA UPENDO

Ubarikiwe ndugu!
 
Back
Top Bottom