Nakubaliana na wewe 100%...Boss saving without purpose of saving is impossible... Tafuta lengo la kufanya saving for instance unataka kujenga kununua gari, wedding, business, Alafu ndio uanze kuweka pesa.. Bila hivyo unapoteza Muda..
Boss saving without purpose of saving is impossible... Tafuta lengo la kufanya saving for instance unataka kujenga kununua gari, wedding, business, Alafu ndio uanze kuweka pesa.. Bila hivyo unapoteza Muda..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa na hela nyingi zinajitunza automatic. Hizi za kwetu tunywe Safari tu ziishe tutafute nyingine
Mkuu hizo pesa zinapata kutu,imekuaje zako zikasalimika hasa mia mia na hamsiniNingeweka picha ya pesa ninavyoweka ila sitokuwa salama coz kuna ndugu zangu kadhaa wanajua wataona. Ila mm kwa sasa naweka hata kwenye kindoo kidogo simple tu mpaka kinajaa hata kama ni miaka 2 ndo nahesabu. Mwaka jana mfano nilikuwa na visado vinne
1. Kimejaa jero jeroo
2. Kimejaa 200 mia 2
3. Mia mia na
4 hamsini hamsini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mafuta ya kula kidogo alafu weka kwenye plastic iliyowazi usifiche sana joto na unyevunyevu unaleta kutuMkuu hizo pesa zinapata kutu,imekuaje zako zikasalimika hasa mia mia na hamsini