meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,192
HatariMbona wagonjwa tunao wengi,
kujaziana Panya tu hawajui,
Hilo nalo nitatizo la akiliKuna vitu vingine ananunua babe mfano nguo unavaa hadi inachanika ama inakubana ila kuitupa inakuwa ngumu unaacha tu uwe unaiona ufurahi
Yeah,ni kweliHilo nalo nitatizo la akili
Kama imechakaa tupa mwambie bby akununulie mpyaYeah,ni kweli
Mfano Faiza na lichupi lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vitu vingine ananunua babe mfano nguo unavaa hadi inachanika ama inakubana ila kuitupa inakuwa ngumu unaacha tu uwe unaiona ufurahi
Mfano Faiza na lichupi lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile alipost kipindi kile imetoboka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile sijui alinunuliwa na sugu 😂😂Ile ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaniiii yule ndo kichaa haswaIle sijui alinunuliwa na sugu [emoji23][emoji23]
Tuna ugonjwa wa akili my dear😅Mimi upande wa nguo nahisi nina ugonjwa huo.
Tuna ugonjwa wa akili my dear[emoji28]
Kabatini nina nguo nyingi ila nina kaugonjwa mwingine nikishikilia nguo moja hiyo hadi niikinai.Tuna ugonjwa wa akili my dear😅
Una nyota ya ufundi garage.Kabatini nina nguo nyingi ila nina kaugonjwa mwingine nikishikilia nguo moja hiyo hadi niikinai.