Kutunza vitu usivyotumia Ni ugonjwa

Kutunza vitu usivyotumia Ni ugonjwa

Nilijua wewe fundi garage mwenzangu mzee mama... bila shaka nimekushushia heshima sio?
Kazi yoyote ya halali haiwezi kumshushia mtu heshima,hujanishushia heshima ile comment niliandika kukutania sikuwa serious uwe na amani ndugu.
 
Kazi yoyote ya halali haiwezi kumshushia mtu heshima,hujanishushia heshima ile comment niliandika kukutania sikuwa serious uwe na amani ndugu.
Sina amani ushaniharibia siku...nakudai.
 
Haya niambie kama kuomba msamaha nijiandae,vipi nimeharibu siku yako leo?
Wala huhitaji kuniomba msamaha...dai langu ni kunirudishia siku yangu niliyokuwa nayo kabla haijaharibika.

Fanya haraka kabla hatujakamatwa.
 
Wala huhitaji kuniomba msamaha...dai langu ni kunirudishia siku yangu niliyokuwa nayo kabla haijaharibika.

Fanya haraka kabla hatujakamatwa.
Tatizo hutaki kusema why siku yako imeharibika nataka kujua chanzo cha tatizo ili niweze kuirudisha siku yako
 
Tatizo hutaki kusema why siku yako imeharibika nataka kujua chanzo cha tatizo ili niweze kuirudisha siku yako
Wewe hautaki kunisaidia....nakutunza ili niitwe mgonjwa wa akili.
 
Kuna makopo mengine ni mazuri yanapendezesha jiko... ukiliangalia unajisemea hili nitali recycle..unkosa cha kuweka unajidanganya litapata tu.

bbade eti unakubali nawe mgonjwa wa akili?

Huu Ugonjwa nahisi ninao...yale makopo yako ya Yoghurt ukiyatupa naendaga kuyarudisha, nikitegemea utakuja oteshea maua.
 
Huu Ugonjwa nahisi ninao...yale makopo yako ya Yoghurt ukiyatupa naendaga kuyarudisha, nikitegemea utakuja oteshea maua.
Unahitaji matibabu au unaupenda ugonjwa wako?
 
Teh...mimi ni nani hadi niweze kukudai...unanifanya nisiweze kudai.

Kumbe wewe ndio tabibu? Hapana basi acha niendelee na ugonjwa wangu.....ukitaka kunisaidia..acha kula hizo makitu
 
Kumbe wewe ndio tabibu? Hapana basi acha niendelee na ugonjwa wangu.....ukitaka kuisaidia..acha kula hizo makitu
Nikikuambia uache Jellybeans utakubali?

Utanionea.
 
Back
Top Bottom