Kutunza vitu usivyotumia Ni ugonjwa

Kabatini nina nguo nyingi ila nina kaugonjwa mwingine nikishikilia nguo moja hiyo hadi niikinai.

Ukishikilia nguo moja yani ukianza kuivaa ni hiyo hiyo kila siku ama?πŸ˜πŸ˜…
 
Basi mimi mgonjwa,kuna nguo nimenunua hata sijawahi zivaa,some time nashtukia kumbe nilinunua hii nguo?
 
Hahaha hapana yaani kuna nguo naweza kuludia kama mara mbili kwa wiki moja watu wangu wa karibu huwa wananiuliza hizi nguo nyingine si uzigawe πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Anhaa okay
 
Vitu vingine tunaeka kwasabu ya sentimental value yani hutaki kukiacha hata iweje.
 
Kuna ki bikini cha X wangu bado nnacho inaezekana nami ni chizi hebu nkakitupe uchizi uishe aiseee
 
Kuna mzee wangu yeye kajaza mascraper kibao nyumbani, baiskeli zilishaota kutu. Magari mawili yalishaoza. Matorori.

Sasa siku moja nimepigika nikamwambia mzee haya makorokoro si bora nikawaite wale wanunua vyuma chakavu nitatue shida zangu... Weeee kidogo ninaswe vibao[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…