Kutwa mnapoteza muda Kuinanga Simba SC badala ya Kuhangaikia Mikataba ya akina Aucho, Djuma na Mayele ili Jumapili wacheze CL

Kutwa mnapoteza muda Kuinanga Simba SC badala ya Kuhangaikia Mikataba ya akina Aucho, Djuma na Mayele ili Jumapili wacheze CL

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kumbe hata Mbunge wa Chalinze mwana Yanga SC lia lia Ridhiwani Kikwete alivyosema Yanga SC mnafanya mambo ya Kipuuzi mengi hakukosea.

Pia kumbe hata aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema kuwa Wana Yanga SC wengi ni Wapumbavu, Nyani, Mbwa na Sokwe hakuwakosea.

Yaani ndani ya Mwezi mzima pamoja na Msemaji wenu Hassan Bumbuli na huyu Msukule wenu mpya mnatumia Nguvu kubwa kuinanga ( kuisema ) vibaya Simba SC wakati kumbe huko Kwenu Yanga SC bado kuna Mambo mengi ya Muhimu hamjayakamilisha.

Hi kama siyo Aibu kwa Klabu ya Yanga ni nini? Yaani leo hii Yanga SC ni Klabu ya Kuchelewa Kukamilisha taratibu zote za CAF ili Wachezaji wake Muhimu akina Khalid Aucho, Shabaan Djuma na Fiston Mayele wawe katika hatihati ya Kucheza Mechi yenu Muhimu na ya Kwanza dhidi ya Rivers United FC ya Nigeria katika CAF CL Jumapili ijayo?

Tukiwaambia kuwa GSM kupitia Injinia Hersi Said ni Wajanja Wajanja ( Panjuani Panjuani ) na hawana Malengo mazuri na Yanga SC bali wako hapo kwa Madili zaidi ya Kuuza Jezi na Kutumia Nembo ya Yanga SC Kibiashara zaidi huwa hamtuamini na mnadhani labda tuna Chuki nao binafsi au tunaichukia Yanga SC yenu.

Si mlikuwa mnasema Haji Manara ndiyo Kila Kitu Kwenu ( japo Mbunge Ridhiwani Kikwete amewaponda Kumchukua hapo Kwenu Jangwani ) sasa mwambieni Haji Manara awapiganie hili na atumie anaosema Ushawishi wake mkubwa ili Wachezaji wenu hawa Muhimu wawepo Dimbani Jumapili Kudadadeki zenu.

Upuuzi huu kamwe huwezi kuukuta au kuupata katika Klabu Bingwa na iliyobarikiwa hata na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club. Tukisema Simba SC ni Next Level huwa tunamaanisha na hata Mbunge Ridhiwani Kikwete kasema Yanga SC mna mengi ya Kujifunza kutoka Simba SC.

Na mlivyo Dhaifu Vichwani mwenu najua sasa mmeshapata Visingizio kuwa ikitokea Jumapili mkafungwa na Rivers United FC katika CAF CL mtajitetea kuwa ni kwakuwa Wachezaji wenu hawa Watatu Muhimu akina Aucho, Djuma na Mayele hawakucheza.

Mtapatwa na Mabalaa hadi mfukuzane.
 
Yaani hii taarifa kama Ni kweli tangia leo nawadharau viongozi wa Yanga sc. Yaani wanashindwa kufanya vitu vya msingi Kama hivyo wanakazania mambo ya kijinga Kama kumkarinisha Manara a.k.a ..... Sasa wacha tutolewe champion league kizembe muone Kama hivyo viti vitakalika. Wapuuzi Sana nyie. Na Kama kweli Hawa wachezaji hawna ITC jumapili hatuji uwanjani, mtashuhudia aibu hii na huyo Manara wenu. Mnaudhi sana. Naanza kuamini viongozi wetu wengi Ni Mikia FC damu damu.
 
Kwa hisani ya 👇👇👇👇

21E36A74-8777-4AFC-A45F-DC5856ED1D75.jpeg
 
Mkuu Mightier mbona haji manara bado ni mzima wa afya?

Au wale wazee uliotuambia wamekosea masharti?
 
Yaani hii taarifa kama Ni kweli tangia leo nawadharau viongozi wa Yanga sc. Yaani wanashindwa kufanya vitu vya msingi Kama hivyo wanakazania mambo ya kijinga Kama kumkarinisha Manara a.k.a ..... Sasa wacha tutolewe champion league kizembe muone Kama hivyo viti vitakalika. Wapuuzi Sana nyie. Na Kama kweli Hawa wachezaji hawna ITC jumapili hatuji uwanjani, mtashuhudia aibu hii na huyo Manara wenu. Mnaudhi sana. Naanza kuamini viongozi wetu wengi Ni Mikia FC damu damu.
Binafsi Waandamizi ( Viongozi ) wa Yanga SC ninaowajua kwa 100% kuwa ni wana Yanga ni Mwenyekiti Dk. Mshindo Msolla, Injinia Hersi Said, Gharib Said Mohammed ( GSM Mwenyewe ) na Antonio Nugaz.
 
Back
Top Bottom