Kutwa mnapoteza muda Kuinanga Simba SC badala ya Kuhangaikia Mikataba ya akina Aucho, Djuma na Mayele ili Jumapili wacheze CL

Mkuu Mightier mbona haji manara bado ni mzima wa afya?

Au wale wazee uliotuambia wamekosea masharti?
Ni kweli ni mzima ila unaona Akili zake kwa sasa zimetimia au zimekamilika kweli? au na Wewe ni Mwendawazimu mwenzake hivyo hujagundua huo Upungufu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…