The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Hakuna kesi hapo,lazima kuwe na physical contact.Je mfano A na B ni wapenzi WA muda mrefu. Wakiwa mikoa tofauti, B anapata mpenzi C ambapo anaamua kumjulisha A kwa ujumbe wa simu.
Baada ya kupata ujumbe, A anakufa kwa mshituko. Je B atakuwa na kesi ya kujibu? Sharia inasemaje juu ya hili?
hapana mkuu, unaweza kuua bila kukusudia kwa kufanya uzembe tuu bila hata kumgusa mtuHakuna kesi hapo,lazima kuwe na physical contact.
Huyo jamaa atawajibika kwa kuua bila kukusudia ...Je mfano A na B ni wapenzi WA muda mrefu. Wakiwa mikoa tofauti, B anapata mpenzi C ambapo anaamua kumjulisha A kwa ujumbe wa simu.
Baada ya kupata ujumbe, A anakufa kwa mshituko. Je B atakuwa na kesi ya kujibu? Sharia inasemaje juu ya hili?
Sasa kama kuna Actus reus na Mens Rea si tayari ameshafanya mauaji kwa kukusudia?Huyo jamaa atawajibika kwa kuua bila kukusudia ...
kwanza kitendo cha yy kumtumia ujumbe mpenzi wake akijua kua usaliti ni jambo lisilojema ni wazi kua anatambua anachokifanya sio sahihi"actus reus" ....na kufanya hivo anajua kua kitasabbisha hali isio nzuri kwa mpenz wake na kuamua kufanya "mens rea" ...hivyo atawajibika kwa INVOLUNTARY MANSLAUGHTER iliosababishwa na uzembe alioufanya ......
by YUNUS (DIL 2nd Year)
Labdaa transferd malice mkuuhapana mkuu, unaweza kuua bila kukusudia kwa kufanya uzembe tuu bila hata kumgusa mtu
Hata uzembe.Labdaa transferd malice mkuu
Kuacha mtu usiempenda sio kosa kisheria ...ila kitendo hicho cha kuacha na namna ambavyo utaamua kumuacha mwenza wako ndio inayoweza kupelekea "UZEMBE" wa ww kuwajibishwa ...kwa sababu "UZEMBE" wa huyo jamaa ame "foresee consiquence" ambayo itatokea na kuamua kuzifikisha habari izo kwa kutojali hali ya mwenza . Kwaio hapo ni juu ya mahakama kuangalia ni jinsi gani habar hizo zimefikishwa...kama itagundua "NEGLIGENCE" ipo basi jamaa anaweza kuwa "Liable"Sasa kama kuna Actus reus na Mens Rea si tayari ameshafanya mauaji kwa kukusudia?
Hakuna sheria hapa Tanzania inayokulazimisha uwe na mpenzi fulani hivyo basi alichokifanya huyo ni jambo la kawaida kwa sababu hakuwa na malice, labda kama alikuwa anajua jamaa ana tatizo halafu ampe taarifa mbaya makusudi vinginevyo huwezi kuthibitisha kama kulikuwa na malice au vinginevyo.
Habari mbaya tunazipokea kila siku katika maisha yetu, mfano mwingine ni kama wewe ni kiongozi labda kwa mfano mkuu wa mkoa , halafu umtumbue mtu kazini(fukuze) baada ya hapo mtu huyo afe kwa mshtuko/presha... ja utakuwa umemuua?
Nachotaka kumaanisha mtu kupokea taarifa mbaya au nzuri ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, sasa matokeo yake kwa kiasi kikubwa hayazuiliki na mto taarifa labda kama atakuwa anafahamu una tatizo fulani au nia fulani ovu ya kumdhuru kiafya, vinginevyo hakutakuwa na uthibitisho wowote ule
Ndio maana nikasema kwa hii scenario ni ngumu kuthibitisha uzembe labda kama jamaa alikuwa ana matatizo yanayojulikana kwa huyo mwingine tena ithibitishwe kabisa na nia ya kumsababishia tatzo lililopelekea kifo chake.Kuacha mtu usiempenda sio kosa kisheria ...ila kitendo hicho cha kuacha na namna ambavyo utaamua kumuacha mwenza wako ndio inayoweza kupelekea "UZEMBE" wa ww kuwajibishwa ...kwa sababu "UZEMBE" wa huyo jamaa ame "foresee consiquence" ambayo itatokea na kuamua kuzifikisha habari izo kwa kutojali hali ya mwenza . Kwaio hapo ni juu ya mahakama kuangalia ni jinsi gani habar hizo zimefikishwa...kama itagundua "NEGLIGENCE" ipo basi jamaa anaweza kuwa "Liable"
Na hata kama zikiwepo zote mbili ....mazingira hayo alotaja jamaa sio ya nia ya kumuua ..pengine ametaka kumuumiza kuhisia au vyovyote vile ikiwa anajua....jambo hilo halitoweza kupokelewa vzuri...mazingira hayo yanaweza kuwa "Actus reus" na "Mens rea" ipo lkn kosa likashuka na kua "Manslaughter" ...ni kama kule kule kwenye self defence..unajua km ukimpiga adui na silaha kichwani atafariki lkn umefanya hata km kuna "Actus reus" na "Mens rea" kawaida hua ni "murder" lkn ukahukumiwa kwa "Manslaughter" kutokana na defence yko...hivyo "Malice aforethought" inaweza kuwepo kwenye kosa la mauwaji na adhabu ikapungua degree yake kutokana na "circumstance"Sasa kama kuna Actus reus na Mens Rea si tayari ameshafanya mauaji kwa kukusudia?