Kuua mbegu za kiume zisizalishe

Kuua mbegu za kiume zisizalishe

Wakanda2021

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
70
Reaction score
8
Habari wana JF,poleni na majukumu ya kila cku.

Njia gani mwanaume anaweza tumia kuua mbegu asiweze kumpa mwanamke mimba? km wazuiavyo w'ke,je kwa m'me nayo inawezekana?

Madr fungukeni mnisaidie kufahamu hili.
 
Back
Top Bottom