Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi.
Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka na vyeo vitapita ila uhai wa MTU ni wa thamani.
Sisi sote ni Ndugu, tupendane, Polisi watajeni hawa Watu.
Ni Rahisi sana kuwamata kama KWELI tunayo Nia ya dhati. Meanwhile, niwaombe Wafuasi WA CCM, acheni kejeli kwenye janga hili, wakitumaliza watageukia....hamko salama.
Soma Pia: Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ally Mohamed Kibao wa CHADEMA