Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
Hali hii hutokana na kututumka/inflammation kwa maumbile ndani ya sikio, huitwa labyrinthitis.
Hutokana na kututumka kwa labyrinth ambayo ni sehemu ya maumbile ya ndani ya sikio.
Hali hii huweza kusababisha:
1: kupoteza uwezo wa kusikia
2: kizunguzungu
3: kusikia sauti zisizo za kawaida
Tiba hutegemea na chanzo wakati husika, kama ni:
1: bakteria
2: vitusi
3: mazoezi tiba
4: dawa ya kusitisha mafua